- AFRIPRISE7550.66%
- CRDB2,8500.00%
- DCB3951.27%
- DSE6,2300.32%
- IEACLC-ETF1,4100.00%
- JATU2000.00%
- KCB2,1300.94%
- MBP1,9303.63%
- MCB3651.37%
- MKCB3,7802.12%
- MUCOBA3902.56%
- NICO3,4001.18%
- NMB1,8502.16%
- NMG2805.36%
- PAL2851.75%
- SWIS2,3503.83%
- TBL10,2300.59%
- TCC14,2500.00%
- TCCL4,4001.14%
- TOL1,4600.00%
- TPCC5,7500.00%
- TTP3656.85%
- VERTEX-ETF3100.00%
- VODA1,2600.79%
- ZAN TIMIZA ETF1204.17%
- ZAN-ETF1100.00%
- EABL5,8400.17%
- JHL8,7000.00%
- KA1154.55%
- SWALA4500.00%
- USL300.00%
- YETU5100.00%
Hisa
Hisa ni nini?
Hisa huwakilisha umiliki katika kampuni zilizoorodheshwa. Unapowekeza kwenye hisa DSE, unakuwa mwanahisa mwenye sehemu halisi katika mafanikio ya kampuni uliyochagua, na unaweza kunufaika na mali, mapato na gawio lake.
Faida za kuwekeza kwenye hisa
Mapato ya Muda Mrefu: Hisa zinajulikana kwa kutoa mapato mazuri ya muda mrefu, hivyo ni msingi wa kujenga utajiri.
Ukwasi: Ni rahisi kununua na kuuza hisa, ukilinganisha na mali nyingine kama majengo.
Kupunguza Hatari: Weka mseto wa uwekezaji wako katika hisa mbalimbali ili kupunguza hatari.
Gharama Ndogo ya Kuanza: Anza safari yako ya uwekezaji kwa mtaji mdogo.
Kinga dhidi ya Mfumuko wa Bei: Hisa husaidia kulinda thamani ya fedha zako dhidi ya mfumuko wa bei.
Jinsi ya Kufanya Biashara ya Hisa: Mchakato Rahisi
- Kupata namba ya mwekezajiAnza kwa kupata namba yako ya mwekezaji, utambulisho wa kipekee kwa miamala yote, kupitia njia zetu rahisi.
- Kuchagua na kuteua dalaliChagua kampuni ya udalali yenye leseni kutoka kwenye orodha yetu na uwape taarifa zinazohitajika.
- Kuweka maagizo na kufuatilia mwenendoFanya biashara kwa kuweka maagizo ya kununua na kuuza kupitia mifumo ya madalali, skrini za biashara au tovuti rasmi ya DSE.